Tuesday, July 16, 2013

New Sound; NDEGE DUME - Bling B & Shax

Moshi Town ipo katika ramani ya muziki haswa wa kuruka madebe na vijana hawa BLING B na SHAX wanadhihirisha hilo kwa kuwakilisha mji wa moshi katika ngoma hii mpya ya NDEGE DUME, ikiw ni mkono toka noizmekah Studios Sakina Arusha, chini ya producer Defxtro, pata kuisikiliza HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check nao kupitia +255 713 067 088
---------------------------------
http://www.hulkshare.com/dl/jcga6bwosf7k/Blingb%20&%20shax-ndege%20dume%20(noiz)?d=1

No comments:

Post a Comment