World News

Friday, July 26, 2013

New Sound; Bad Q ft. Jambo Squad & Breeza - Huna Hela

Anakuja Bad Q toka G.A-Unit arachuga na wimbo alomshirikisha Breeze toka kundi la Machizi flani pamoja na Ordinary toka Jambo Squad "Huna Hela" isikilize na pia kudownload nyimbo hiyo HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania usonge mbali zaidi, powered by www.vmgafrica.com
--------------------------
http://www.hulkshare.com/dl/x3wqrp35f5s0/Ga-unit%20ft%20odinary%20&%20breeze-huna%20hela%20(noiz)?d=1

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...