World News

Friday, July 26, 2013

New Sound; Frank Memori & MayChedda - Nimejitoa Sadaka

Ikiwa ni muda kidogo tangu kutoa Single,Rapper Frank Memori aja tena akishirikiana na mwanadada MayC aka Maychedda katika ngoma brand new "Nimejitoa Sadaka" ilopikwa katika studio za noizmekah arusha chini ya Producer defxtro, pata kudownload wimbo HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania kila siku, kwa mawasiliano zaidi check na Frank kwa +255 753 311 745 na maychedda kwa +255 716 266 156  powered by vmgafrica.com
-------------------------
http://www.hulkshare.com/dl/l9gpq72h0d8g/Frank%20memori%20ft%20maychedda-nimejitoa%20sadaka%20(noiz)?d=1

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...