World News

Monday, September 2, 2013

BANX ft. Defxtro - "Excellent"

Banx akimshirikisha Defxtro katika ngoma yake ya "Excellent" wengi waliwahi kusikia chorus hii katika leaked track ya nikki wa pili mwaka 2009 katika mitandao ya kijamii,Hii ni Official Release kwa Fans wote kote Duniani,Mkono wa dx aka defxtro pande ya Noizmekah Studios Arusha, Pata kuisikiliza/Kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Banx kupitia +255 717 766 348 au DefXtro kwa +255 715  240 005 Powered by www.vmgafrica.com
----------------
Banx ft Defxtro-Excellent http://goo.gl/uKvInq

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...