World News

Monday, September 2, 2013

JESHI LA MBUN'GO - "Mwerevu Siafu"

Wakubero aka Jeshi la Mbung'o wanadrop Bounce jipya kabisa kwa jina "Mwerevu siafu" toka studio za Noizmekah Arusha chini ya Defxtro, humu pia sauti za Maalmando zimesikika vizuri akiwemo Nigga C Pamoja na Ordinaly, Download ngoma HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Wakubero kupitia +255 763 673 340 powered by www.vmgafrica.com
----------------
Wakubero ft JamboSquad-Mwerevu

siafu http://goo.gl/MhwR04

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...