World News

Wednesday, September 25, 2013

Dullayo kuwarusha TANDAHIMBA leo......@Club D

Abrahaman Kassembe aka Dullaaaaaayo siku ya leo Jumatano ya tarehe 25 Sept. amewatembelea shabiki zake na mashabiki wa Bongofleva pande za Mtwara sehemu za Tandahimba ambapo anatarajia kuwabueudisha kwa kupiga bonge la show ktk Club ya usiku iitwayo Club D, Tandahimba mjini.

Dullayo amesema ana jiskia furaha sana kuwa pande zile kwa mara ya kwanza tangu alipotembelea sehemu zile miaka ya 1990, zaidi amefurahi kukutana na ndugu , jamaa na marafiki...... pia amewaahidi kuwa atafanya show moja kali sana kwa ajili yao ktk Club hiyo ambapo kiingilio kwa show hiyo ni Tshs. 3000/ tu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...