Kwa mawasiliano,interviews na mengineyo check na John B kupitia +255787276352 pia you can stay connected kwa facebook www.facebook.com/GrandmasterRecords au twitter @grandmastertz
Wednesday, September 25, 2013
'PRODIGAL SON' Mixtape ya Cannibal is ready......
Hii ni mixtape iliyokua ikisubiriwa kwa ham sana toka kwa Cannibal
ambaye amewahi kutamba sana na hits zake kama Kichwa Kibovu,I wish na
Legend na collabos kama badman aliyoifanya na D Knob na My City My Towt
aliyofanya na Prezzo,huu ni kama utangulizi wa album yake itakayotoka
soon,mixtape ya Cannibal inatoka chini ya usimamizi mkubwa wa producers
John B toka Grandmaster Records Arusha na Provoke wa AMG Nairobi
wakishirikiana na studio zingine kama Mystic,Ufuoni na
nyinginezo,mixtape imebeba ngoma 19 na kushirikisha stars kama
AY,Prezzo,Nazizi,Fundi Frank,Abass Kubaff,Bobby Mapesa,Sharama na
wengine kibao,unaweza kucheck na ngoma zilizopo kwenye prodigal son
hapa http://www.mdundo.com/a/44 pia unawezasikiliza preview/kionjo cha mixtape hiyo hapa http://www.hulkshare.com/i625x8xiu6f4
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment