World News

Wednesday, September 4, 2013

UTAINUKA - ChokaBoyz ft. Ordinary & Ruff G

Wanaitwa ChokaBoys toka Ngaramtoni Arusha, wakiwa ndani ya wimbo "Utainuka" walomshirikisha Ordinary toka Jambo Squad pamoja na mkali wa dancehall, Ruff G ikiwa ni mkono toka Noizmekah Studios kwa Defxtro, Ngoma ni ladha ya Raggaeton mahususi zaidi wa kuparty, pata kuliskiza/Kudownload  HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na ChokaBoys kupitia +255 753 842 850 powered by www.vmgafrica.com
-------------
ChokaBoys ft Ordinary & Ruff G-Utainuka http://goo.gl/27FlJX

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...