Wednesday, September 4, 2013

VeeJay aiachia album yake ya Injili, NIMEZALIWA TENA

Victor John aka Veejay msanii chipukizi katika muziki wa injili, amebarikiwa kukamilisha album yake ya kwanza na anafurahi kuwatangazia wapendwa katika bwana Album ya "Nimezaliwa Tena" inayotambulishwa kwa single ya MBELE KWA YESU,download HAPA ,Album kamili ina  nyimbo nane na tracks kumi jumla sasa itapatikana kote nchini kwa mawasiliano naye Victor John kwa simu nambari +255 716 941 696 ,Support Muziki wa Injili,Support Hiphop Gospel kwa kununua kazi halali ili kuwanufaisha wasanii wa Nyumbani powered by www.vmgafrica.com
----------
 Victor John ft Catrina-Mbele kwa Yesu http://goo.gl/zizQWu

No comments:

Post a Comment