Friday, February 28, 2014

Jambo Squad, MeccaCheka wamaliza BEEF Arusha!


Jambo Squad na MeccaCheka siku ya Jumatano tarehe 26 Februari tulikutanishwa Noizmekah kujadili tofauti zetu, sasa Tumepatana na hakuna beef tena. Shukrani kwa mashabiki zetu wote tunawapenda, tegemeeni ngoma za pamoja toka kwetu Jambo Squad na MeccaCheka kama ishara ya amani na upendo kati yetu vijana, wasanii wa Tanzania, Peace & Love TAZAMA VIDEO HAPA http://youtu.be/p_1xT-T2yBo

No comments:

Post a Comment