Friday, February 28, 2014

JanB Kuzindua Album yake Billz March 9


Uzinduzi wa EP Album ya Msanii wa Mziki wa kizazi kipya katika miondoko ya Swahili Pop/House & Techno. Itafanyika tarehe 9 March 2014 CLUB BILLICANAS. Atasindikizwa na wasanii wakali WAKAZI, NIKKI MBISHI, NIITE SONGA, GODZILLA, M-RAP, COUNTRY BOY, AZMA, OBI na wengine kibaoo. Ni siku ya Jumapili kuanzia saa nne USIKU mpaka chweee kwa kiingilio cha 8,000 tuu. Pia EP Album ya JanB itapatikana pale kwa buku tano tuu.

Venue: Club billicanas
Date: 9th March 2014
Price: T.sh 8,000
Instagram@janbizo

--
https://twitter.com/intent/user?screen_name=JanBkiwia

No comments:

Post a Comment