Tuesday, March 4, 2014

Cannibal Arudi Bongo....

As promised huu ni ujio mpya wa Cannibal akiwa anaangalia kwa ukaribu mashabiki wake wa Tanzania na wapenzi wa muziki wa mapenzi ambao amekaa sana kwa muda bila kuufanya,hii hapa joint mpya,inaitwa "nishakupenda",powered by www.fresh120media.com, Cannibal ft Chidi Benz
For Interviews and inquiries; +255787276352
 
Song Credits
Song; Nishakupenda
Artist(s); Cannibal ft Chidi Benz
Produced by; Sapi - Home Boyz Nairobi
Post Production by; John B - Grandmaster Records Arusha

No comments:

Post a Comment