World News

Tuesday, March 4, 2014

50 Cents nusura amchape Boss Steve Stoute!

50Cent amemmaidi kinomanoma Boss Steve Stoute walipokutana ktk game ya Basketball ya Knicks baada ya kumchana Live ktk kipindi cha hIPHop HOT 97 mbele ya Mtangazaji maarufu Angie Martinez huku akimkosoa kuwa sasahivi afanyi vizuri ktk muziki wake 'hana hit single kwa muda mrefu' na kutomtaja ktk Orodha yake ya Top 5 ya Wasanii wakali wenye ushawishiNo comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...