World News

Tuesday, June 24, 2014

Out Burst waachia "Kwani nini"

Click HAPA kudownload kazi ya kundi la "Out Burst" linaloundwa na Nyigu Rapper, P Castro pamoja na Joker, ngoma ni Hiphop Category kwa jina "Kwani Nini" inayobeba ujumbe kuhusu maendeleo bila vikwazo/vizuizi ikiwa ni kazi toka DM Records Arusha chini ya Producer Reggy, kwa mahojiano/mawasiliano zaidi cheki na Outburst kwa nambari +255 656 047 970 au +255 769 253 337 na email enock93@yahoo.com powered by www.vmgafrica.com
--
Out Burst-Kwani Nini (DMRecs) http://goo.gl/w1SrGj

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...