Thursday, June 19, 2014

Chege & Temba wanatoka na ngoma mpya..!

Wakata mkaa wenye roho mbaya Chege na Temba wameachia track yao mpya ambayo inaitwa WAUWE wamemshirikisha kijana mmoja kutoka mkubwa na wanawe anaitwa Maromboso, wimbo umefanywa na Producer Shirko kisha mastering imefanywa na Dr. Chali a.k.a Marco Chali, kutoka MJ Rec.

No comments:

Post a Comment