World News

Tuesday, June 17, 2014

Tuzo za AFRIMMA kufanyika kwa mara ya kwanza July 26...... Wapigie kura DIAMOND, BEN POL & SHEDDY CLEVER!


Tuzo za AFRICAN MUZIK MAGAZINE AWARDS (AFRIMMA) zinatarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi ya 26/7/2014 ambapo wasanii kibao kutoka ulaya na nchi 17 za Afrika wamealikwa kupiga show ktk sherehe hizo za kwanza kabisa!

Ktk TUZO hizo wasanii wanaowania kutoka TANZANIA ni Diamond, Ben Pol na Sheddy Clever, kuwapigia KURA BOFYA HAPA

Mbali na T-Pain wasanii wengine waliothibitika kupiga shoe ni pamoja na Iyanya, 2face, Les Nubians, D3 Dancers, Stanley Enow, Flavour, Davido, Diamond Platinumz ,Fally Ipupa, Wyre, Miriam Chemmossna wengine.


Basket Mouth

Host wa show hio atakuwa mchekeshaji maarufu wa kimataifa Basket Mouth 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...