World News

Friday, August 22, 2014

Miss Temeke 2014 kupatikana leo, Mnyama TID kusindikiza show!!

Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la picha,ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC klabu Chang'ombe jini Dar es Salaam leo Agosti 22,2014.Jumla ya washiriki 17 kutoka vitongoji vya Mbagala, Kurasini na Chang'ombe watapanda jukwaani leo kuwania taji hilo huku Globu ya Jamii ikimzawadia kitita cha Sh. Mil 1 Mrembo atakaeonekana ana mvuto wa picha (Miss Photogeni 2014).

 Mnyama TID atakuwepo kusindikiza Mtanange huo wa warembo 17.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...