World News

Wednesday, October 15, 2014

New Sound; MSELAA by Hardcronix ft Ordinally

niaje niaje good people?najua nimepotea kwa mda kidogo hapa,nilikua nakimbizana tu na kuweka mambo sawa kidogo, narudi kwa kuanzia na vijana wa Kijenge juu utengwani HardcroniX likiwa ni kundi linaloundwa na Black Spear ambaye kadondoka verse ya kwana na K Doo ambaye kafunga kwa verse ya pili,,,hapa wakiwa na Ordinally wa Jambo Squad wanakwambia "Mselaa" wakiwa wanaelezea namna msela wa kweli anatakiwa kuwa...

Sikiliza/Download Mselaa hapa; https://mkito.com//song/mselaa-hardcronix-ft-ordinallygrandmaster/2912
Song Credits:
Song; Mselaa
Artists; HardcroniX ft Ordinally
Producer;John Blass(John B)
Studio; Grandmaster Records
Kwa mawasiliano/Interviews check na K Doo hapa; +255755168533

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...