World News

Tuesday, December 30, 2014

Lyrics za "NYAMBIZI" ya DULLY

Lets FlashBack to the lyrics za nyimbo iliyofungiwaga ya Nyambizi kutoka kwa Dully Sykes 2003.

KIITIKIO
Nyambizi nakupendaa japoo Mkuubwaa,
Mateso ninayopato usiku ni makuubwaa!
Naomba unielewee uwewangu mchuumbaa,
Nyambizi nakupendaa japoo mkuubwaa!

(verse 1)

Cheki, night kali nilimtembelea Eddy Tazz, katika yake kazi, ya ulinzi, hukooo Tangi Bovu Mbezi.
Basi tunapiga story si ndo kapita nyambizi, Na mwendo wa mapozi, nami nikampigia mluzi.
Basi akasimama akapiga hatua saba mithili ya mtu anayetaka kukaba, halafu akaja akaniuliza;
Kwani weee nani? (Hidaya)
Nikamwambia mie naitwa Prince Dully Sykes, basi alishangaa huyoo!
Haa kumbe nd'o uliyeimba Julietha, yaani siamini! (Hidaya)
Nikamwambia naomba uniamini.
Kwani tulishawahi kuonana lini? (Hidaya)
Ok! nakumbuka ilikuwa siku ya Valentine up to date empire mjini, ulikuwa na rafiki yako alibeba mfukowa nylon.
Haa n'shakumbuka siku ile nilikuwa na Winnie (Hidaya)
Mhhh! Ulikuwa umevaa kitop cheupe, pamoja no kimini. Kwani wee unafanya kazi gani?
Nafanya kazi katika shirika la benki nchini lipo palepale mjini (Hidaya)
Anhoha! Nyambizi, nimefurahi sana kukutia machoni.
Anhahaa Dullyacha utani! (Hidaya)
Hee, Nyambizi, wallai nataka nikwambie neno ambalo linanisumbua mi moyoni.
Dully neno gani (Hidaya)
Nyambizi, nataka uwe nami maishani.
Kwa hilo haliwezekani (Hidaya)
Nyambizi kwa nini?
Unajua Dully wee kiumri bado upo chini (Hidaya)
Dah! Nyambizi,japokuwa unamiaka arobainimi nataka uwe nami maishani
Nimesema haiwezekoni na nnaazidi kuchelewa nyumbani (Hidaya)
Ok! Sasa Nyambizi tutaonana lini?
Ok! Nakupa promise njoo Jumapili saa Kumi jioni FM Club Kinondoni
(Hidaya)

KIITIKIO x2

(verse 2)
Jumapili jioni, nilikwenda mpaka FM Club Kinondoni, nikiwa nalindwa na John Wandiba pembeni.
Tunafika getini, tunaona kila mtu anatuangalia sisi usoni. Tukaingia ndani kwa shauku, humo ndani kulijaa watu.
Siku hiyo nilikuwa na mapene kama mobutu. Naangalia kushoto, namuona nyambizi jimama, akiwa na Abby Sykes, nikasogea na kutoa salaam.
Kwenye mashavu yake Nyambizi nikamshumu, jicho nyannya siku hiyo nilikula ndumu.
Kama kawaida, baba kasogea katuachia nafasi mie na nyambizi tupate kuongea. Nami matatizo yangu yote nyambizi nikamuelezea.
Mara naona anaaanza kunchekea, na macho kunilegezea. Mwisho nyaambizi anaanza kuniambia;
Dully, ombi lako moyoni nimeliridhia (Hidaya)
Weweee! Hapo hapo mwani ukaanza kunijia, Nikatamani kumvamia, lakini ule muda wa kuishia ukawadia.
Hatukutaka tabu, tukachukua Cab mpaka hoteli yo karibu Kaishi akaanza kupata ulabu, nilimuuliza maswali hakunijibu,Alibaki kama bubu.
Kwa ajili yo pombe ilimtoka aibu ilibidi aniambie;
Dully chukua chumba ukanienzi! (Hidaya)
Nikaenda mapokezi kulipia chumba cha mapenzi
Mimi na nyambizi mpenzi, tukaingia ndani, tukaanza na romans, pole pole tena kwa pozi.
Ukawadia ule muda wa dozz, nikamuuliza, Nyambizi tunaweza kulala?
King'asti unataka kulala ushakula? (Hidaya)
Aah! Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu, nipe japo kiduchu, mi n'shachoka kupiga puchu!
Dully nakuonea huruma usije ukadata, haya kazime taa uje kupata! (Hidaya)
Huwii! Nikaenda kuzima taa ili nipate n'nachotaka. Nyambizi mama la kitanga, kiuno kizima kajaza shanga.
Huwezi kuamini kwa jinsi alivyozipanga, kala mkorogo unaweza kujua ni mmanga!
Jimama kote anacheza, hadi sodoma. Japo kanimeza lakini mchezo anauweza.
Na sijui wapi mchezo huu aliupokeza. Sababu macho anafumba na kiuno anakilegeza.
Semenimeni, semenimeni mpaka morning, nyambizi haniachi, hasikii wala haoni.
Nami sitoweza kumuacha, usiku huo ilikuwa bila zana. Ngoma dry ajali kazini mpaka kunakucha, Wwaaa!

KIITIKIO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...