World News

Tuesday, December 30, 2014

15TH ANNIVERSARY OF DULLY SYKES IN BONGOFLAVA @Escape 1..!!!!!!!


The LEGEND of BONGOFLAVA, Abdul Sykes aka DULLY SYKES aka Mr. MISIFA aka Handsome ataangusha SHOW ya kilejendari pande za Escape One leo 30 Dec ktk kusherehekea Miaka yake 15 ktk game ya Bongoflava. Wadau wanapaswa kujitokeza kwa wingi kumsapoti na kumpa BiGUp ya nguvu.....

Dully ameshafanya mengi sana ktk muziki huu wa Bongoflava. Tuna kila sababu ya kumpongeza msanii huyu ukikumbuka magumu mengi aliyoyakabili mpaka kufikia hii leo kuhesabu miaka 15 kwenye muziki! CONGLATULATION DULLY!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Dully alitoa Album ya kwanza mwaka 2003 - Historia ya kweli, Handsome - 2005 na Hunifahamu - 2006. Inasemekana ana Hits Single kama 50 hivi alizokwisha release to date!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...