Naomba
mpokee ngoma yangu mpya ambayo inakua kama ngoma ya kwanza baada ya kurekodi
ngoma nyingi sana tangu 2011.
Nimeanza
rasmi na hii na soon inafuata video, baada ya hapo utaratibu kamili utafuata
ambao uko tayari kabisa juu nini kitafuata.
Rekodi
inaitwa NIKO HIVI inayoelezea sehemu kubwa ya mimi nilivyo na nimeona inafaa
kua ngoma ya kwanza kwani introduction hua mwanzo halafu habari nyingine
zinafuata.
Niliona
SQUEEZER anafaa kwani nilihitaji sauti Fulani yenye mamlaka kuelezea
nilichokusudia kwenye chorus.
Please
support this movement, THE ROCKER anafanya Hip hop na vingi vinakuja.
Natanguliza
shukrani nyingi kwa kila mtu.
PHONE:
0654752822/ 0759191076
SONG : NIKO HIVI
ARTISTS: THE ROCKER Feat. SQUZEER
PRODUCER : EMAX
STUDIO : NAKIETE REC
No comments:
Post a Comment