Monday, January 26, 2015

MWANTUMU LIVE MAISHANI!!

Nyimbo: MWANTUMU
Msanii: MALAIKA

Malaika ni msanii mwenye uwezi mkubwa katika sanaa ya muziki ambapo anaweza kutunga na kuimba. Na mara ya kwanza alijulikana katika nyimbo ya Msanii Chege Chigunda iitwayo "USWAZI TAKE AWAY"

Na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi katika Kampuni ya Erolink Limited.

Familia Yake, ametangaza rasmi mahusiano(Ndoa) na mfanyabiasha mkubwa hapa nchini aitwaye Edeward Steven.


Na ana show yake tarehe 1-feb-2015 ya uzinduzi wa video ya Mwantumu ndani ya Club Maisha.

No comments:

Post a Comment