Mh. Captain John Komba, Mbunge wa Mbinga amefariki leo katika
hospitali ya TMJ. Wanasema alikuwa anasumbuliwa na kisukari (diabetes).
Kutoka Twitter:
Rest in peace, Tanzanian singer/politician Captain John Komba. I remember his rise to fame.
Chama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania 7m7 minutes ago
TANZIA:Mbunge
wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John
Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar.
0 replies10 retweets0 favorites Reply
No comments:
Post a Comment