Friday, February 20, 2015

R.I.P MEZ B

Msanii wa  muziki kizazi kipya Moses Bushangama aka 'Mez B' amefariki dunia. 
Mez B alikuwa mmoja wa Wanamziki wanaounda kundi la Chamber squard, amefariki leo mjini Dodoma.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi. Amina!

No comments:

Post a Comment