Baada ya "Jirani" sasa
Waswazi wanarudi tena na ngoma mpya,round hii wanakwambia
"kijiji",wasikilize vijana hawa multi talented kutoka pande za Dar
wakiwa endorsed na Adam Juma wa Next Level,for bookings na interviews
check nasi kupitia bookings.waswazi@gmail.com,pia unaweza kuwasaliliana na John Blass wa Fresh120 Media kupitia +255754201643 au +255787276352
Sikiliza/Download Kijiji by Waswazi hapa;
http://www.hulkshare.com/waswazi/waswaz-kijiji
http://www.hulkshare.com/waswazi/waswaz-kijiji
No comments:
Post a Comment