World News

Thursday, May 28, 2015

Felix Kiprono, Yuko tayari kutoa Mifugo 150 kama Posa ya Kumuoa mtoto wa Obama!

 Mchizi kutoka Kenya, Mwanasheria Felix Kiprono amejitokeza na kumwandikia barua Raisi wa Marekani Barack Obama akimweleza nia yake ya kutaka kumuoa binti yake Malia pichani chini kushoto

Katika Barua yake hiyo aliyoiwasilisha ktk Ubalozi wa Marekani nchini Kenya, ametoa ofa ya Ng'ombe 50, Kondoo 70 na Mbuzi 30 akikubaliwa ombi lake. Pia ameeleza kuwa anampenda sana Malia tena toka alivyomuona mwaka 2008 ajawahi kumfikiria binti mwingine yoyote mpaka hivi sasa!!!!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...