World News

Wednesday, June 3, 2015

Barnaba Aongoza kwa kazi nzuri mwaka 2015, Kashirikishwa tena kwenye wimbo mpya wa Tayson.Inline image 1
Barnaba ameingia katika list ya wasanii wakubwa  walioshiriki katika kazi za wasanii wengine na ndiye msanii anayeongoza kusaidia wasanii wanaochipukia katika muziki wa Bongo Fleva kwa mwaka 2015.
Safari hii Barnaba anasikika kwenye kiitikio cha wimbo mpya kabisa wa Hip Hop alioshirikiswa na Wiz Tayson kutoka Maskan ya B.O.B Click.

Inline image 2

Wiz Tayson wimbo wake mpya huu ameupatia jina la SIJUTII alioufanyia katika studio za Kir record chini ya muandaaji Rash Don.
Sijutii Wiz anazungumzia maisha ya watu wengi na magumu tunayoyapitia katika maisha ya kiTanzania pia anasikika Barnaba akisema kwenye maisha ukianguka nyanyuka na tujifunze kuweka akiba.

1 comment:

  1. Mnafanya vizuri
    Hongereni makavulive.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...