World News

Monday, June 29, 2015

EFC KUMFILISI JIDE!

Taasisi ya Kifedha inayotoa mikopo jijini Dar es salaam (EFC) inatarajia kuuza kwa mnada kiwanja cha Lady jaydee kilichopo Mivumoni Kinondoni jijini hapa leo asubuhi baada ya kushindwa kurejesha mkopo wake.

MEM Auctioneers and General Brokers Ltd ndio wasimamizi wa mnada huo wakiwa wamepewa dili na EFC.......

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...