World News

Monday, June 29, 2015

THE FULL CHARGE SHOW!! Ndani MAMBO JAMBO RADIO....

"THE FULL CHARGE SHOW" @fullchargeshow ni Brand New Radio Show on MJ RADIO 93.0 FM @mambojamboradio !!!! 

Kuanzia Ijumaa ya Tarehe Tatu mwezi wa saba 2015 FROM Saa KUMI  hadi saa KUMI NA MBILI jioni Stay Tuned kwa kipindi hiki Bomba Kabisa,Show Kubwa Mjini,Kipindi Special cha kukufungulia weekend zako na kuzipa Muka kwa Info na Burudani Kabambe kikiendeshwa na @angel_de_malaika @munish2010 @nacz_lastborn & @MrCbeda Powered by @j4cinyo @shuttupdeejayz @vmgafrica @noizmekah @fredyse1  @mkitodotcom www.vmgafrica.com  @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
--
Inline image 1

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...