Thursday, December 3, 2015

REST IN PEACE 'KASONGO MPINDA' "CLAYTON".....

Mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi Kasongo Mpinda “Clayton” aliyefariki jana jioni, atazikwa leo saa 10 jijini Dar es Salaam. Kasongo Mpinda atazikwa makaburi ya Kisutu kwa taratibu zote za Kiislam. Mtoto wa marehemu Kasongo, Kiloman ameaambia Saluti5 kuwa taratibu za mazishi zitaanzia nyumbani kwao Kinondoni jirani na Demage Hotel kuanzia asubuhi hadi muda wa kuupeleka mwili wa baba yao makaburi ya Kisutu.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/12/kasongo-mpinda-kuzikwa-leo-saa-10.html
Copyright © saluti5

 Mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi Kasongo Mpinda “Clayton” alifariki jana jioni nyumbani kwake Mwananyamala.

Taarifa zilizopo zinasema, mwili wa marehemu Kasongo Mpinda unatarajiwa kuzikwa makaburi ya Kisutu leo jioni.
"To Allah we belong and to Him we shall return."
Mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi Kasongo Mpinda “Clayton” aliyefariki jana jioni, atazikwa leo saa 10 jijini Dar es Salaam. Kasongo Mpinda atazikwa makaburi ya Kisutu kwa taratibu zote za Kiislam. Mtoto wa marehemu Kasongo, Kiloman ameaambia Saluti5 kuwa taratibu za mazishi zitaanzia nyumbani kwao Kinondoni jirani na Demage Hotel kuanzia asubuhi hadi muda wa kuupeleka mwili wa baba yao makaburi ya Kisutu.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/12/kasongo-mpinda-kuzikwa-leo-saa-10.html
Copyright © saluti5

No comments:

Post a Comment