Monday, November 16, 2015

NEW RELEASE; SIJAONA - CJAMOKER Ft. MABESTE

Nashukuru MUNGU kwa siku nzuri ya leo kuweza kuamka salama na kwa Amani. Habari njema kwa Watu wangu wa nguvu , Leo ni siku ambayo wimbo wangu umetoka rasmi. 

KUWA WA KWANZA KUPAKUA NA KUSKILIZA KUPITIA HII LINK https://mkito.com/song/sijaona-ft-mabeste/17295 ukishafanya hivyo Share na mwenzio hiyo Link ili kila mpenda MUZIKI MUZURI aweze pata VITAMIN MUSIC%. 

Wimbo ‪#‎SIJAONA‬ upo katika radio station, unaweza request katika vipindi mbali mbali vya radio ili kuweza pata airtime,support zenu za kutosha zitafanya wimbo uweze fanya vizuri ili tuweze kufika malengo mazuri. SHUKRAN...... 

SONG:SIJAONA
ARTIST :Cjamoker TONE' ft Mabeste Venance
PRODUCED BY Brian Moses & Cjamoker Oscar

No comments:

Post a Comment