World News

Wednesday, March 23, 2016

Snoop Dogg AKIPAISHA Kijiji kidogo huko Romania kuwa maarufu Duniani!!


Wiki iliyoisha Mwana HipHop nguli duniani Snoop Doggy alisafiri mpaka Jiji la Bogota huko Colombia.... kwa bahati mbaya akapost picha insta na kukosea Location badala ya Bogota, Colombia......akaweka Bogota ya Romania kijiji kidogo sana chenye watu kama 2,000 tu!!!

Kitendo hicho kimefanya watu wengi duniani kukitafuta kijiji hicho cha Bogota na kukipatia sifa kubwa....'kiasi cha wafanyabiashara kukipigia debe kijiji hicho ili wakawaasa watalii kuja na vitu vya kulalia sababu hakuna Hotel au labda kama watakodi nyumba za wanakijiji'
>>>>>>>“the best place for chillin’ in Romania,” Bogata offers traditional gulyas stew (which looks delicious), proximity to the Ciucas waterfall, and distinction as the birthplace of the famous immunologist Iuliu Moldovan. There are no hotels—the website advises visitors to bring a sleeping bag or “ask a villager for housing.”

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...