Social media maarufu zaidi duniani 'Instagram' imepata Malkia mpya wa mtandao huo mwenye Followers wengi zaidi
Imezoeleka jina la Kim Kardashian na Taylor Swift kutawala nyaja hizo lakini rekodi hii mpya ni ya mwanadada Serena Gomez!
Akiwa na wafuasi zaidi ya 70.7M msanii huyo wa Pop amewaacha wastaa wakubwa Kim mwenye 63.9M, Taylor 69.9M na Malkia wa Pop Beyonce mwenye 63.3M
Kwa hapa Bongo bado mwanadada Wema Sepetu anawaongoza kwa kuwa na followers 1.5M, wakati Zari ana 1.4M, Jokate 1.4M, Jackline Wolper 1.4M, Vannesa Mdee ana 1.3M na Aunt Ezekiel 1.1M.
No comments:
Post a Comment