Timu hiyo ya Memphis Glizzlies ni moja ya timu zitakazoshiriki katika ligi ya Chama cha Mpira wa Kikapu cha Marekani (NBA) akiwa ni Mtamzania wa kwanza kishiriki ligi hiyo.
Mchizi ameweka historia ya kwanza na ya kipekee hapa nchini na inatoa changamoto kwa wachezaji wengine kuonesha juhudi na kupata hamu ya kujiendeleza katika mchezo huo. Jamaa alichaguliwa wa2 katika wote waliokuwepo, pia inaonekana anakubalika hata kumzidi yule mchizi alietokeaga Zaire Dikembe wa Mutombo.
“There is nobody in the league like him. People compare him to (Dikembe) Mutombo. He has a lot of more fluidity and agility than Mutombo could ever dream of having. He is going to walk andform his own trail.” http://www.grizzliesonline.com/
No comments:
Post a Comment