Saturday, June 27, 2009

Danny Glover Mgeni rasmi Zanzibar International Film Festival





















Mmarekani mweusi na bigwa aliecheza movies kibao za kusisimua kutoka Holliwood Marekani Danny Glover atakua mgeni rasmi katika tamasha la ZIFF linaloanza leo pande za Ngome Kongwe Zanzibar.

Ziff limekuwa tamasha kubwa sana kadri miaka inavyozidi kusogea na kila mwaka linapofanyika mambo yanazidi kuwa matamu.

Ktk kulinogesha tamasha hilo kutakuwa na msanii wa regge Alpha Blond na wengine kibao kutokea pande za Zimbabwe , Comoro, India, Bongo na Visiwani Zanzibar.

Pamoja na yeye na film yake ya Toussant pia kunategemewa kuudhuriwa na waongozaji 24 wa filamu kutoka nchi za Africa.

Tamasha linaanza leo na litafikia kilele tarehe 4 july 2009.

No comments:

Post a Comment