Monday, June 29, 2009

BONGO STAR SEARCH 2009 YAFIKIA PATAMU!!

Madam Ritah kulia na Emillian Rwejuna(Meneja Udhamini wa Vodacom) kushoto wakiwa kwenye mkutano na wanahabari leo.

Mkurugenzi wa Benchmarck Production Ritah Paulsen amewatangaza leo wasanii wenye vipaji walioingia top 20 ktk shindano la Bongo Star Search,BSS, ambao wataanza kupigiwa kura ili kumpata mshindi wa mwaka 2009.


Waliofanikiwa kuingia 20 na mikoa waliyotoka ni

Imani Lisu, Frola Ezekiel (Arusha)

Beatrece Willliam, Pascal Cassian (Mwanza)

Juma Malik, Mwampwani Yahya, Sarafina Mshindo (Dodoma)

Peter Msechu (Kigoma)

Leah Julius (Tabora)

Issa Ahmed, Anitha Jackson, (Mbeya)

Jackson George (Tanga)

Alice Peter, Catherine Ntepa, Kelvin Mbati, Lulu Abdull, Maybou Mtekateka, Mary Lucas, Yacinta Richard, na Said Omary (Dar es alaam).


Washiriki watapata mafunzo zaidi ya kimuziki na pia wataanza kutoa ala katika muziki wao ili waanze kupigiwa kura katika uimbaji wao.

Bongo Star Search inadhaminiwa na Vodacom Tanzania, Family Health International, Pepsi, Kilimanjaro Drinking Water na Presiciion Air.

1 comment:

  1. Hi madam jina langu ni rehema mbengwa ni mwanamke ambaye sipendi kuwa tegemezi ila sijapata mtu wa kunisaidia malengo yangu.mimi ni mwandishi wa story napenda kuelimisha jamii ila bado sijampata wa kunisaidia.nimeandika story zangu nikajaribu kuzunguka kwa watu wa filamu sikupata support yeyote.naomba msaada wako.namba yangu ya simu ni 0652801667

    ReplyDelete