Baada ya kupatikana washiriki 20 watakaoingia ktk kinyang'anyiro cha kumsaka kinara mwenye kipaji 2009, kinachosubiriwa ni ule mchujo kwa njia ya kupigiwa kura na mashabiki ambao utaanza Julai 12 mwaka huu, alisema jana Mkurugenzi wa Benchmark prodn.
Washiriki walitoka mikoa 10, baada ya usaili mikoa 8 ilifanikiwa kuingiza washiriki kwenye top 20 ambapo 12 wametokea mikoani na 8 wametoka dar, kati ya hao 12 ni wanawake na 8 ni wanaume!!
Haya mdau tusubiri tuone vipaji, nani kuibuka STAR mwaka huu.
No comments:
Post a Comment