Tuesday, June 30, 2009

MASHINDANO YA POOL TAIFA YAZINDULIWA DAR JANA!


Mhamasishaji wa mchezo wa pool kwa wanawake Maimartha wa Jesse, akijiandaa kupiga mpira wakati wa ufunguzi wa mchezo wa Pool Taifa ilipozinduliwa katika ukumbi wa kijiji cha Makumbusho Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment