Saturday, June 6, 2009

DJ CHOKA HATOFANYA TENA SHOW NA PROF JAY


Dj Choka pichani akiwa na Prof Jizze wakiwa wametinga kimasai kwenye moja ya show zao, Dj Choka brother ambaye pia ni mmiliki wa BONGO STAR LINK ametengana kikazi na Prof Jay akihojiwa na East africa radio leo asubuhi amesema hatopanda tena jukwaani km ilivyokuwa zamani alipokuwa akifanya ma-backUp na ma-scratch kwenye show za mzee wa mitulinga 'Prof Jay'.

Amesema kuwa hakuna sababu za ajabu sana ila ni migongano tu ya kifamilia.

Dj Choka akisababisha kwenye moja ya maonyesho yake.
stori zaidi check pia djfetty.blodspot.com / michuzijr.blogspot.com


No comments:

Post a Comment