Tuesday, June 23, 2009

R . I . P Mama NASMA KHAMIS KIDOGO





Marehemu Nasma Khamis Kidogo kushoto akiwa na Mwimbaji mwenzie Khadija Omar Kopa katika moja ya shughuli za Muziki wa Taarab enzi za uhai wake


Wadau tujitokeze kwenda kumsindikiza kisutu makaburini mama yetu mpendwa mkali wa Taarab ktk safari yake ya mwisho hapa duniani!


Kundi la Gangwe Mobb litamkumbuka sana Nasma Khamis hasa kwenye ile nyimbo yao ya "Wape Vidonge" waliyomshirikisha.

pichani kushoto Gangwe mobb; Luten Kalama na Inspector.

Mungu ailiaze mahali pema peponi Roho ya Marehemu Nasma Khamis Kidogo Amin .



No comments:

Post a Comment