Friday, June 26, 2009

R . I . P MICHAEL JACKSON


Binafsi sitaki kuamini km jamaa amefariki lakini pia sitaki kupingana na Mwenyezi Mungu mkubwa wa yote, Michael Jackson amefariki usiku wa kuamkia leo huko Marekani baada ya moyo wake kusimama kufanya kazi.

Nilikua nasubiri sana ujio wake mpya baada ya kimya kirefu na km watu walikua wananong'ona hivi kwamba jamaa kafulia kimziki. Kabla ya mauti yake, Tayari alikua amejiandaa kufanya bonge la tour kutangaza album mpya akianza mazoezi Los Angeles na show mjini London hivi karibuni, na alipata mialiko mingi sana tofauti na alivyotegemea.


Mfalme huyu wa muziki wa pop ambaye mpaka leo hii anaongoza kwa mauzo ya album yake ya "Thriller," hakuna wakumfananisha nae, amefariki akiwa na miaka 50, pia ametoka kusherehekea miaka 25 ya album yake kali kupitiliza ya "Thriller".


Background information

Birth name Michael Joseph Jackson

Born August 29, 1958(1958-08-29)
Gary, Indiana,United States

Died June 25, 2009 (aged 50)Los Angeles,
CaliforniaUnited States
Genre(s) Pop, R&B, rock, soul
Occupation(s) Singer, songwriter, record producer, arranger, dancer, choreographer, actor,author, businessman, financier
Instrument(s) Vocals, multiple instruments, percussion
Voice type(s) Falsetto[1]
Years active 1967–2009
Label(s) Motown, Epic
Associated acts The Jackson 5/The Jacksons
Website MichaelJackson.com

MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU MICHAEL JOSEPH JACKSON.

No comments:

Post a Comment