Xavier Renne a.k.a ' X dizzo '
Mmoja kati ya vichwa vitano kutoka katika umoja wao mpya ' Makavu live' , Dizo Renne kama navyopenda kumuita mimi ila jina halisi ni Xavier Renne a.k.a X Dizo, akiongea na blog hili Xdizo anasema ataachia ngoma yake hivi karibuni akiwa ndani ya kundi ambayo mpaka sasa bado ajaipatia jina. Kabla ya hio nyimbo tayari anaskika na dude lake kali la HiPHop linalokwenda kwa jina la DHAHABU ZILIZOPOTEA ambalo lilipikwa na producer mkali bongo Marko Chali ndani ya Mj Records. Vilevile anaskika kwenye verse ya kwanza ktk nyimbo yao mpya kutoka Makavu live inayoitwa 'Ongea Mwana' iliyo tengenezwa na producer VILLY wa V Nice production.
XDIZZO BIOGRAPHY
'Nilianza Rap since 1998 kipindi nasoma primary school Bunge kabla sijaamia Ukonga, mwaka 2000 nilipata chance ya kurekodi ngoma kwa producer Amit Mental mimi na crew yangu iliyokua inaitwa kama mbele".
Baada ya hapo nikarudi College mpaka sasa nilipojiunga na washkaji wa kitaa kuform ' Makavu live '.

Mwaka 2003 nilipata nafasi nyingine ya kufanya ngoma Bongo record chini ya producer P Funck Majani nikiwa na Pig black a.k.a P'One black nyimbo iliitwa MAADUI, haikupata airtime ya kutosha.
Mwaka 2004 nilikapata dili ya kurekodi albamu nikiwa mimi na Cylil chini ya producer Jonas ila kutokana na mapilika ya shule tukakosa muda wa kufanya hiyo album.
Baada ya kumaliza elimu ya sekondari mwaka 2005, nikarudi kwenye game na kufanya nyimbo iliyokua inaitwa 'Ndani ya VIP' nikishirikiana na Dolphin Pose na Dog T ambayo iliingizwa kwenye Complilation Album iliyoitwa Tanzania Hiphop Department 2005.
Baada ya hapo nikarudi College mpaka sasa nilipojiunga na washkaji wa kitaa kuform ' Makavu live '.
Wadau, mchizi ndio huyo kutoka 'Makavu live' pia jamaa ni mtunzi mzuri wa filamu, kaeni tayari kupata filamu kali na album yake mbali na kundi ambayo anaendelea kuiandaa.
Xdizo yupo ndani ya 'Makavu live'
Contact P.O.BOX 25495,
Contact P.O.BOX 25495,
Phone no; +255717 500 393 / +255712 77 51 51
DSM.
No comments:
Post a Comment