Wednesday, July 15, 2009

AKUDO IMPACT KUWAPAGAWISHA WAKAZI WA TEGETA JULY 18


Akudo Impact 'vijana wa masauti' j'mosi hii watauwasha moto mara 3 kupagawisha wakazi wa Tegeta na maeneo jirani ktk ukumbi wa Nyama-Chabase uliopo Tegeta jijini Dar es salaam, chini ya udhamini wa Premium Serengeti Lager bendi hio itakamua vilivyo ktk ukumbi huo tarehe 18/07/2009.

Kutakuwa na shindano la kucheza shoo ya style yao mpya ya Roboti na mshindi atazawadiwa kitita cha shs. 50,000/=.

Mdau hii sio ya kukosa!! Shoo itaanza saa 3 usiku kwa kiingilio cha shs.5000, vijana wamasauti wanastyle nyingi sasa ikiwemo bomoa-bomoa, masaii masaii halalagi, kibajaji, roboti na nyingine kibao.

No comments:

Post a Comment