Bendi ya muziki wa dansi ya Tanzania iliyojikita nchini Ujerumani ya 'The Ngoma Africa band' imeachia nyimbo mpya inayoitwa "Apache Wacha Pombe" inayotesa sana ulaya na pande zingine za Afrika.
Nyimbo hiyo imeandikwa na kiongozi wa bendi hiyo bwana Ebrahim Makunja aka Ras Makunja.
Mdau, pata kutembelea kwenye facebook yao upate kuiskiza kwa uzuri!!
No comments:
Post a Comment