Monday, August 10, 2009

UMMY AUKWAA U-MISS UTALII VYUO VIKUU, MASHARIKI


Mrembo mpya wa Utalii Vyuo Vikuu Kanda ya Mashariki, Ummy Mdolwa UDSM (katikati) akiwa na Rosemary Zahoro IFM (kushoto) aliyeibuka wa2 na Zakia Ramadhani UDSM wa3 mara baada ya kutajwa ktk shindano hilo lililojili kwenye ukumbi wa Rainbow Social hall uliopo Kawe Beach jijini Dar es Salaam juzi Jmosi.

No comments:

Post a Comment