Monday, August 10, 2009

Mtoto Fatuma atwaa taji la 1 la Miss Totoz Bongo!!

Miss Totoz Tmk 2009 Fatuma Issa(7) kati akiwa na mshindi wa2 Jane Anthony, na Wa3 Yunus Anthony ktk picha ya pamoja baada ya kinyang'anyiro kilichofanyika ktk ukumbi wa Equator grill, Temeke.

Mtoto huyo aliweka histori pale juzi baada ya kuwa malkia wa kwanza wa watoto ktk mashindano hayo ambayo hayajawahi kufanyika hapa bongo. Mratibu wa shindano hilo alisema lengo ni kukuza na kuendeleza sanaa kuanzia ngazi za chini, pia mashindano hayo yataendelea ktk wilaya zingine ilala na kino na washindi watano watawakirisha kumtafuta mtoto mrembo wa jiji la dar!!

1 comment:

  1. Huku ndiko pa kuibua na kukuza vipaji vya kweli..!
    'Msukumo zaidi unahitajika..!

    ReplyDelete