Monday, August 10, 2009

BONGO IMESHAJIPATIA MA-MISS WA WILAYA ZOTE, IPI KUIFUNIKA ZINGINE KTK MISS TANZANIA 2009??!

3 bora ya Miss Ilala 2009 ikiongozwa na Sylivia Frank Shally katikati Gladness Shao kushoto na Evelyne Lujamba kulia.

5 bora ya Miss Temeke 2009 inayoongozwa na Sia Ndaskoi kati(no.12) kulia ni Selina Kipeta, Shani Anthon, Fatma Yassin na Stella Solomon.

3 bora ya kinondoni 2009 inayoongozwa na mrembo Lulu Ibrahimu katikati Yvonne Bigilo kushoto na Aloyce Innocent kulia.


WILAYA GANI ITAIBUKA KIDEDEA...?

No comments:

Post a Comment