Tanzania imetajwa kuwa moja kati ya nchi 10 zenye waathirika wengi wa mafua ya nguruwe, zikiongozwa na Marekani yenye wagonjwa 33,902 hivi karibuni liliripoti gazete la The sun.
Ugonjwa huo wa mafua ya nguruwe unatokana na hii kitu hapo juu pichani, mdau!!
Tutakimbiana sana mitaaniii
No comments:
Post a Comment