Mnyamwezi Fid Q, Ngosha 'the Don' msanii wa hiphop bongo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa hv leo!!
HAPPY BIRTHDAY MZAZ!!!!
Fid Q amezaliwa tarehe moja ya August 13' na tarehe aliyofariki mkongwe aliyegundua/kuanzisha gitaa la umeme Gibson Les Paul pichani.
Lester William Polsfuss aka Les Paul amefariki leo akiwa na umri wa miaka 94 huko New York Marekani.
MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU LES PAUL.
No comments:
Post a Comment