World News

Friday, September 11, 2009

Baada ya Kanumba kuzingua BBA...'Ay' kupagawisha J2 kabla ya Mtanzania kuingia kwenye jumba!!!


Msanii wa hiphop nchini Tanzania AY atatumbuiza J2 hii katk hafla ya Bigbrother J'bourg. AY ni msanii mwingine kutoka Bongo aliyekula shavu BBA baada ya msanii wa filamu Kanumba kutoka huko ivi karibuni.Pia ma-fans wengi wa BBA wanasubiri kumwona mwanadada atakaewakirisha bongo msimu huu, watakapokuwa wanaingia jumbani wasichana 7 kuungana na wenzao wanaoonekana kuwasubiri kwa hamu kubwa humo ndani.

AY mchizi ane piga show nyingi za nje na ndani, baada ya hapo atasafiri hadi Kuala Lumpur kwa show ingine Sept. 23 , na badae atarejea bongo ambako ana kibarua kingine cha Road 2 MAMAs party ndani ya Club Billicanas Oct. 3!! ALL THA BEST MNYAMWEZI....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...